Posts

TANGAZO KWA WANAKIABI

Image
MWENDELEZO WA KIABI JOGGING CLUB Kwa sasa wanachama wote wa kiabi mwenye uwezo wa kuingia mtandaoni kama anhitaji kupata taarifa anaweza akaingia na kupata kilicho kipya chochote kinachijiri kuhusu  kiabi, Najua tulikuwa katika mapumziko ya mda mrefu kidogo ikifuatiwa na Mwezi mtukufu wa Ramadhani, lakini haimaanishi kwamba Umoja wa kikundi chetu haupo, tupo na tunaendelea kuwepo leo hadi kesho, Nimeamua kutoa taarifa hii kwa ajiri ya kukata kiu cha wanachama waliohitaji kuhoji kuhusu kiabi ipo ama haipo?... Tumeanza kufanya mazoezi Jumamosi ya tarehe 16/07/2016 ikifuatiwa na siku ya jumapili,Nashukuru kwa wanachama wote walioitikia wito na kujumuika pamoja japokuwa sikuwepo lakini si sababu ya kutofanya mazoezi kwasababu viongozi wapo akiwemo mwekahazina, mwenyekiti, katbu na viongozi wa bodi pia, Kwa amoja tunaipa nguvu kiabi Asanteni... Mwanahabari SAID SUDY.

Williamson Fredinand Materials

List of Functions of computer Devices

BBSSWAHILI NEWS

Get whatever you want with BBC SWAHILI NEWS

CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES

CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES

MR ALEXANDER BENEDICTOR (URL) ,MADAM CLARA

MR ALEXANDER BENEDICTO Factors affecting full utilization of e government application in Tanzania http://www.scribd.com/doc/21746592/Challenges-of-Promoting-E-Governance-in-Tanzania MADAM CLARA System analysis and development tools and its equipment http://www.umsl.edu/~sauterv/analysis/488_f02_papers/ProjMgmt.html System analysis and development tools and its equipment http://users.jyu.fi/~jpt/doc/thesis/ime-2_3.html System analysis and design tools and techniques

Klabu bingwa

Image
Klabu bingwa ya ni Raja au Bayern? Timu ya Raja Casablanca kutoka Morocco imefuzu kucheza fainali za klabu bingwa ya dunia baada ya kuisambaratisha Atletico Mineiro kutoka Brazil katika mchezo wa nusu fainali. Raja waliweza kufunga magoli mawili katika dakika 10 za mwisho katika mchezo huo. Taarifa zinazohusiana FIFA ,  Kandanda Kwa matokeo hayo Raja Casablanca watamenyana na Bayern Munich ya Ujerumani katika mchezo wa fainali. Raja ndio waliokuwa wa kwanza kujipatia bao lililofungwa na Mouhssine Lajour. Mchezaji wa zamani wa Barcelona Ronaldinho alipiga kiufundi mpira wa adhabu na kuisawazishia bao timu yake ya Mineiro. Lakini Mohaine Moutaouali aliiweka mbele timu yake ya Raja baada ya kufunga mpira wa penalti, huku Vivien Mabide akikamilisha ushindi wa magoli 3 ya Raja dhidi ya 1 la Mineiro. Kivutio katika mchezo ni kwa wachezaji wa Raja kumzunguka Ronaldinho mara baada ya kupigwa filimbi ya kumaliza mchezo, huku wakimbusu na jezi na viatu vyake kam...

Uganda:Mashoga,wasagaji kufungwa maisha

Image
Uganda:Mashoga,wasagaji kufungwa maisha Iwapo Rais Yoweri Museveni ataidhinisha sheria hiyo inamaanisha atakayepatkana na hatia atahukumiwa kifungo cha maisha gerezani. Wakati hu huo bunge hilo hilo la Uganda siku ya Alhamisi liliidhinisha mswaada unaopiga marufuku maonyesho ya picha za chafu.Mswaada huo uliopitishwa na bunge siku ya Ijumaa halikadhalika inasema mtu yeyote aliye na taarifa za watu wanoshiriki mapenzi ya jinsia moja na kushindwa kuripoti habari hizo kwa maafisa wa polisi atafungwa gerezeni maisha. Mswada huo unaharamisha kitu chochote kitakachoonyesha sehemu nyeti kama vile matiti, mapaja, makalio au tabia yoyote inayozua uchu wa mapenzi. Kulingana na mswada huo, sheria iliyopo sasa kuhusu picha chafu haihusu zaidi picha hizo bali linahusu uchapishaji ,mawasiliano, taarifa , burudani, maonyesho katika kumbi za kuigizia, miziki inyochezwa katika vyombo vya habari, densi, sanaa, mitindo na picha za runinga. Mapema mwaka huu Waziri wa maadili wa Uganda, Simon ...