TANGAZO KWA WANAKIABI

MWENDELEZO WA KIABI JOGGING CLUB Kwa sasa wanachama wote wa kiabi mwenye uwezo wa kuingia mtandaoni kama anhitaji kupata taarifa anaweza akaingia na kupata kilicho kipya chochote kinachijiri kuhusu kiabi, Najua tulikuwa katika mapumziko ya mda mrefu kidogo ikifuatiwa na Mwezi mtukufu wa Ramadhani, lakini haimaanishi kwamba Umoja wa kikundi chetu haupo, tupo na tunaendelea kuwepo leo hadi kesho, Nimeamua kutoa taarifa hii kwa ajiri ya kukata kiu cha wanachama waliohitaji kuhoji kuhusu kiabi ipo ama haipo?... Tumeanza kufanya mazoezi Jumamosi ya tarehe 16/07/2016 ikifuatiwa na siku ya jumapili,Nashukuru kwa wanachama wote walioitikia wito na kujumuika pamoja japokuwa sikuwepo lakini si sababu ya kutofanya mazoezi kwasababu viongozi wapo akiwemo mwekahazina, mwenyekiti, katbu na viongozi wa bodi pia, Kwa amoja tunaipa nguvu kiabi Asanteni... Mwanahabari SAID SUDY.