Posts

Showing posts from October, 2012

Makomando ndani ya KIBEGA

Big up vijana,Kazi nzuri ndiyo silaha yako katika jamii, na pia kumbukeni kwamba ninyi ndiyo kioo cha jamii ambacho kinatakiwa kiwe kisafi mda wote kwa kufanya matendo ambayo yanayoipendeza na kuifurahisha pia jamii yetu.TAMADUNI NA MILA ndiyo nguzo kubwa na utambulisho wa TAIFA kwa ujumla.Mmefanya vizuri na endeleeni hivyo vivyo hivyo ndivyo jamii inapenda na ni lazima itawapa moyo na kuilinda kazi zenu pia

PIKIPIKI BALAA

Image
  Ajari ni kitu kibaya sana, Jamii pamoja na watu wote mnapaswa kuelewa nini hasa kiini cha tatizo ama ni kitu gani kinachopelekea mpaka matatizo kama haya yanatokea!iwe ni umasikini ama starehe,tujaribu sote kuelewesha umma kwa pamoja nini hasa kitendeke ili kuepukana na ajari kama hizi,EPUKA AJARI ZINAZO EPUKIKA.TAFAKARI CHUKUA HATUA!!!!!!!!!!!!!!!!!!  

DAUDI MWANGOSI

Image
Pole sana mwana habari mashuhuli kwa kilicho kukuta,kwani naamini ndio kazi ya mungu lakini haikosi kisa wakati wa kutendeka,Mchango wako katika JAMII ulikuwa mkubwa sana na pia nyie wana habari mna mchango mkubwa katika kuendeleza na kukuza TAIFA.MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI.AMINA!!!!!!!!!!

MUOGOPENI MUNGU

Image
Hiki sio kitendo kizuri hata kidogo DADA  pamoja MAMA zetu,kama hamjaamua kuzaa ni bora uache kwani mnapoamua kufanya kitendo hiki mnakwaza na kujitengeezea maswali ya kujibu mbele ya mungu ni dhambi kubwa na hata pia hukumu yenu ipo nyuma yenu,kuwa na MSIMAMO ni nguzo kubwa kwako ili kuondokana na DHAHAMA HII.Jiamini na pia ujiulize upo na nani endapo utakapo kufa nawe MUNGU atakuchagulia zawadi gani? WWW.FACEBOOK.COM