Manchester United inamtaka Walcott


Theo walcott
Theo walcott
Manchester United imesemekana kuwa inamsaka mcheza kiungo wa Arsenal Theo Walcott, mwenye umri wa miaka Ishirini na mitatu.
Ripoti zinasema kuwa Manchester United inataka kumsajili Walcott sawa na walivyofanya na mshambulizi wa Arsenal Robin Van Persie mwezi Januari mwaka huu.
Kocha wa Man United Sir Alex Ferguson ameripotiwa kuonyesha nia kubwa ya kumsajili mchezaji huyo ambaye mkataba wake na Arsenal unamazilika mswisho wa msimu huu.

Comments

Popular posts from this blog

FIELD REPORT ON BTCIT 2012

Afanya mapenzi na mifupa ya maiti